Imetumwa : June 5th, 2025
Leo tarehe 5 Juni 2025, Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mheshimiwa Mohamed Hassan Moyo, amefungua rasmi mafunzo ya Jeshi la Akiba kwa mwaka 2025 yaliyofanyika katika viwanja vya Mafuta Ilulu.
...
Imetumwa : June 6th, 2025
Tarehe 6 Juni 2025, Mohamed Kaidi Afisa Kilimo kutoka Bodi ya Korosho Makao Makuu Mtwara , ameshiriki mahojiano maalum katika kipindi cha Amka na 90.9 kupitia Kituo cha Redio Nachingwea...
Imetumwa : June 5th, 2025
Mkuu wa wilaya Nachingwea Mheshimiwa Mohamed Hassan Moyo ameagiza kufanyike upimaji katika maeneo tofautitofauti katika vijiji vya Kata ya Ruponda ili kuapa eneo kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya ...