Imetumwa : September 9th, 2025
Septemba 9, 2025, Baraza la Wazee wilayani Nachingwea likiongozwa na Mwenyekiti wake Bi. Honoratha Chitanda limekutana na Msimamizi wa Uchaguzi kujadili maandalizi ya Uchaguzi Mkuu 2025. Kikao hicho m...
Imetumwa : September 3rd, 2025
Nachingwea, 2 Septemba 2025 Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe. Mohamed Hassan Moyo, amefunga rasmi mafunzo ya Jeshi la Akiba yaliyofanyika katika Uwanja wa Sokoine, ambapo jumla ya vijana 128 wamehitim...
Imetumwa : August 23rd, 2025
Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha MAKINI ndugu Sharifa Hashim Issa leo Agosti 23, 2025 amefika ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Nachingwea na kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo.
...