Imetumwa : August 14th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea Mheshimiwa Adinan Mpyagila Agosti 14, 2024 amefanya ziara ya kutembelea vituo viwili salama vya wanafunzi wa Shule za Msingi vilivyowekwa katika Shule...
Imetumwa : August 7th, 2024
MKUU wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amewataka maafisa kilimo kutoa elimu kwa wakulima namna bora ya kulima kilimo cha kisasa kama ambavyo wanavyotoa elimu hiyo kwenye nane nane.
Mo...
Imetumwa : August 7th, 2024
Wananchi wameshauriwa kutumia karafuu inayopatikana wilaya ya Nachingwea ambayo inatibu matatizo ya kunuka mdomo na afya ya kinywa kwa ujumla.
Akizungumza katika maonyesho ya nane nane kanda ya...