• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika

  • Kupitia/kuendeleza na kutafsiri malengo ya kilimo ya wilaya, sera na mikakati sambamba na sera na miongozo ya kitaifa.
  • Kuwa na utaratibu wa kuendeleza na kutoa miongozo kwa wadau wa kilimo ( mashirika yasiyo ya kiresikali, mashirika ya kijamii) na kuyahusisha kwa kuyajengea uwezo katika utoaji huduma wilayani.
  • Kuhakikisha kuwa maandalizi ya miradi ya maendeleo ya kilimo wilayani yanalenga  kutatua changamoto za walengwa kwa kuwa inaandaliwa kwa mbinu shirikishi.
  • Kuwa katika mstari wa mbele katika uwajibikaji utoaji wa huduma kwa mteja kwa kuhakikisha  taratibu zinafutwa na maamuzi yanafanyika kwa wakati, na kujihusisha na utoaji wa zabuni kwa mikataba.
  • Kuwezesha mawasiliano mazuri kati ya vituo vya utafiti, ugani na wakulima/vikundi vya wakulima na kuwa kiungo na watumishi wa kilimo wilayani, kata na vijijini na watumishi wa idara nyingine.
  • Kuhakiki, kutoa maelekezo, na kusambaza taarifa za utafiti kwa walengwa wote (wakulima) wilayani.
  • Kusukuma na kuimarisha uhusiano na taasisi na mashirika yanayojihusisha na maswala mtambuka  katika wilaya mfano; mazingira, ukimwi, jinsia na utunzaji wa maliasili na kuhakikisha  kuwa maswala hayo yanahusishwa katika mipango endelevu wa kilimo.
  • Kuratibu na kushauri juu ya shughuli zote za kilimo kufanyika kwa ushiriano wa sekta rasmi na isiyo rasmi (mashirika binafsi). Kusimamia na kuunganisha taarifa matukio ya majanga na wadudu/visumbufu vya mazao vinavyo/yanayotukia katika kanda, mkoa, na taifa kwa ujumla.  
  • Kushirikiana na idara za serikali na maafisa wa serikali za mitaa katika kushauri, kuendeleza na kuhamasisha utekelezaji wa sheria ndogo za kilimo.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • NACHINGWEA DC YAKABIDHI JUKUMU LA UZOAJI TAKA KWA KAMPUNI YA KASANDRA CLEANING SERVICE

    March 16, 2023
  • DEO MSINGI AFANYA KIKAO CHA TATHIMINI YA ELIMU YA MWEZI JANUARI NA FEBRUARI 2023

    March 14, 2023
  • MKOA WA LINDI KUENDELEA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUPITIA MIKOPO YA HALMASHAURI

    March 08, 2023
  • WAZAZI WA WANAFUNZI AMBAO HAWATAFANYA MITIHANI YA MUHULA KUHOJIWA OFISI ZA KATA

    February 08, 2023
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AKIZUNDUA MRADI WA MAJI NAMIKANGO
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.