Imetumwa : November 18th, 2021
Ujenzi wa Madarasa Manne shule ya wasichana Nachingwea (UVICO-19) Hatua ya msingi na umwagaji wa jamvi unaendelea . Madarasa Manne yenye thamani ya Tsh Milioni 80 kila moja ni milioni Ishirini (...
Imetumwa : November 15th, 2021
Hali ya maendeleo ya ujenzi kituo cha Afya kata ya Namatula unaendelea vizuri ambacho kinajengwa kutokana na tozo za miamala ya simu Tsh Milioni 250 . Picha ya Tarehe 11/15/2021...