Imetumwa : April 19th, 2023
Miradi ya maendeleo ambayo imepitiwa na mwenge wa uhuru ina thamani ya Tsh BILIONI 1.4, miradi hiyo ni uwezeshaji wa vijana kiuchumi wenye thamani ya Tsh Milioni 15, ujenzi wa Bara...
Imetumwa : April 16th, 2023
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 Ndg. Abdalla Shaib Kaim ameridhishwa na utekelezaji wa miradi yote illyopitiwa na Mwenge wilayani Nachingwea. Miradi hiyo ni Upandaji miti na utunzaji wa vyanz...
Imetumwa : April 9th, 2023
MKuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amewataka wazazi na walezi kukemea na kupinga mapenzi ya jinsia moja( ushoga na usagaji) ili kujenga kizazi bora kwa faida ya Taifa.
Akizungumza...