• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

Ardhi na Maliasili

  • Kusimamia Sheria ya Wanyamapori Na. 5 ya mwaka 2009 na kutekeleza Sera ya Wanyamapori, kufanya doria katika maeneo yenye wanyamapori na kutunza nyara za serikali kabla ya kuziwasilisha katika ghala la Taifa
  • Kusimamia shughuli za uwindaji wa kitalii kwenye wilaya husika na kukusanya maduhuli ya serikali kwa kutoa leseni za uwindaji wa wenyeji (local hunting) kwenye maeneo ya wazi kulingana na quota iliyotolewa
  • Kusimamia uwindaji wa wenyeji na wageni wakaazi na kutunza kumbukumbu na takwimu za wanyamapori, kukusanya taarifa zinazohusu aina, idadi na mienendo ya wanyamapori na kuwasilisha idara ya wanyamapori kwa utaratibu, tathmini pamoja na mambo mengine na kupanga quota.
  • Kulinda wananchi na mali zao dhidi ya wanyamapori wakali na waharibifu na kutoa mafunzo kwa jamii juu ya uhifadhi wa wanyamapori
  • Kuwa kiungo kati ya wananchi na Idara ya Wanyamapori katika shughuli za ushirikishwaji wa wananchi katika uhifadhi
  • Kutoa ushauri wa kitaalam kuhusu uhifadhi wa wanyamapori hasa kwa wananchi waliotenga maeneo ya uhifadhi katika ardhi yao, kulingana na sheria, sera na miongozo itakayotolewa na Idara ya Wanyamapori
  • Kuandaa mipango ya maendeleo kuhusiana na wanyamapori
  • Kusimamia matumizi endelevu ya misitu ndani na nje ya maeneo ya hifadhi
  • Kukusanya maduhuli ya serikali kwa kutoa leseni za matumizi ya misitu
  • Kusimamia Sheria ya Misitu Na. 14 ya mwaka 2002 na kutekeleza Sera ya taifa ya Misitu
  • Kutoa elimu ya sheria ya Ardhi Na. 4 na 5 ya mwaka 1999
  • Kutoa elimu juu ya sera ya ardhi na maendeleo ya makazi na suala zima la upangaji na usimamizi wa miji
  • Kuandaa na kutoa Hati miliki za ardhi na kupima mashamba na viwanja vya makazi
  • Kuandaa na kuwezesha mipango ya matumizi bora ya ardhi ya vijiji, kutafsiri na kupima mipaka ya maeneo ya utawala
  • Kufungua masjala za vijiji za ardhi na kuandaa na kukabidhi vyeti vya vijiji
  • Kusambaza sheria za ardhi, kuandaa mipango ya jumla na mipango ya kina ya mipangomiji na kusimamia ukuaji wa miji
  • Kufanya uthamini wa ardhi na mali za kudumu na kutatua migogoro ya ardhi na kuchora ramani

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • NACHINGWEA DC YAKABIDHI JUKUMU LA UZOAJI TAKA KWA KAMPUNI YA KASANDRA CLEANING SERVICE

    March 16, 2023
  • DEO MSINGI AFANYA KIKAO CHA TATHIMINI YA ELIMU YA MWEZI JANUARI NA FEBRUARI 2023

    March 14, 2023
  • MKOA WA LINDI KUENDELEA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUPITIA MIKOPO YA HALMASHAURI

    March 08, 2023
  • WAZAZI WA WANAFUNZI AMBAO HAWATAFANYA MITIHANI YA MUHULA KUHOJIWA OFISI ZA KATA

    February 08, 2023
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AKIZUNDUA MRADI WA MAJI NAMIKANGO
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.