Mheshimiwa Adinani Mpyagila amechaguliwa kua Mwenyekiti wa Halmashauri kwa 2025 - 20230 kwa kupata kura 49 za ndio kati ya 49 zilizopigwa ambapo ni sawa na 100%, Uchaguzi huu umefanyika Desemba 2, 2025, katika Mkutano wa kwanza Baraza la Madiwani.
Mheshimiwa Mpyagila amechaguliwa tena kwa awamu ya pili baada ya kutumika nafasi hiyo kwa Mwaka 2020 - 2025.
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.