• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

Mifugo na Uvuvi

  • Kutafsiri sera za mifugo, uvuvi, mikakati, miongozo na kanuni kulingana na     hali ya mifugo na uvuvi kiwilaya;
  • Kuhakikisha maandalizi ya mipango ya maendeleo ya mifugo kulingana na     mahitaji ya wafugaji katika njia shirikishi;
  • Kuwezesha kuunganisha utafiti na huduma za ugani na kutengeneza mahusiano mazuri kwa kuwashirikisha wakulima, vikundi vya wakulima,    viongozi wa wilaya, viongozi wa vijiji na kata na maafisa wa halmashauri;
  • Kutengeneza miongozo ya watoa huduma binafsi (CBO’s, NGO’s) na watoa   huduma binafsi wakubwa na kuwawezesha waweze kufanya mikataba na   halmashauri katika kutoa huduma katika halmashauri.
  • Kuweza kusimamia utoaji wa zabuni haraka na kutoa maamuzi haraka na   kwa wakati kwa kuzingatia vigezo na masharti.
  • Kuweka miongozo ya matumizi ya tafifiti zinazoonesha matokeo mazuri kwa   makundi husika (wafugaji na wavuvi) katika halmashauri.
  • Kuweka ushirikiano kati ya taasisi na mawakala wanaofanya kazi za   mtambuka na halmashauri ya wilaya kama: maliasili, jinsia, mazingira,   wakala wa uwezeshaji wa mkoa (RFAs) katika kumbambana na virusi vya ukimwi na ukimwi ili kuhakikisha kuwa masuala haya yanazingatiwa katika   mipango kazi kuwezesha ufugaji na uvuvi endelevu.
  • Kuunganisha na kusimamia kazi zote za mifugo na uvuvi zinazofanywa katika Halmashauri na watoa huduma wa jamii na binafsi. Kufuatilia,   kusunganisha na kutoa taarifa ya magonjwa na wadudu waenezao   magonjwa wanaohamahama katika ngazi zinazohusika na udhibiti katika  kanda, mikoa na taifa.
  • Kuandaa taarifa za utekelezaji za mwezi, robo mwaka na mwaka za  maendeleo ya mifugo na uvuvi na kuhakikisha zinawasilishwa kwa mkurugenzi mtendaji, mkoa, kanda na wizarani.
  • Kuandaa na kuwasilisha taarifa ya mwaka ya utendaji kazi wa watumishi wa idara ya mifugo na uvuvi.
  • Kutathmini mahitaji ya pembejeo za mifugo na uvuvi, upatikaji na usambazaji katika halmashauri ya wilaya.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WANAFUNZI WA NACHINGWEA HIGH NA RUGWA BOYS WAAGWA KWA HAFLA FUPI, WAJIANDAA KWA MITIHANI YA TAIFA

    April 26, 2025
  • SDA NA LIIKE WATOA MAFUNZO YA HUDUMA YA KWANZA KWA MANGALIBA NA WALOMBO KWA AJILI YA KUIMARISHA UTAMADUNI SALAMA

    April 28, 2025
  • DED NACHINGWEA : AAGIZA MIRADI KUKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA KUZINGATIA VIWANGO

    April 09, 2025
  • RC LINDI : MIRADI YOTE ITAKAYOPITIWA NA MWENGE IZINGATIE MATUMIZI BORA YA FEDHA

    April 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.