Kutoa elimu ya afya na kuiwezesha jamii kuwa na afya bora na kuzuia isipate magonjwa.(primary prevention)
Kutoa huduma ya afya mapema kabla magonjwa hayajaleta athari zaidi na magonjwa mapema na kuwahi kupata huduma kabla magonjwa hayajaleta madhara zaidi (secondary prevention).
Kutoa huduma na tiba kwa wateja (wagonjwa) waliopata madahara zaidi baada ya kupata athari zaidi ya magonjwa au athari ya kudumu.
Kutoa ushauri wa afya kwa mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya.
Kukusanya, kutunza na kutoa taarifa/ takwimu za idara afya.