• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

Elimu Msingi

  • Kupanga, kuratibu na kusimamia masuala yote ya Idara ya Elimu katika Wilaya
  • Kupanua na kuimarisha Elimu ya Msingi na kusimamia wajibu na maslahi ya watumishi katika Idara ya Elimu
  • Kukagua na kufuatilia taarifa za ukaguzi wa Elimu ya Msingi
  • Kuandaa na kusimamia uendeshaji wa mitihani ya Elimu ya Msingi hasa darasa la IV na VII ya Taifa kila mwaka.
  • Kusimamia mgawo na mipango ya fedha kwa ajili ya uendeshaji masuala ya kielimu
  • Kuwaendeleza walimu kitaaluma ili watoe huduma bora zinazokidhi viwango
  • Kufuatilia ufundishaji katika shule za msingi na kusimamia mtaala wa elimu
  • Kukusanya takwimu za watahiniwa wa darasa la IV na VII kutoka shuleni kuzihakiki na kuziwasilisha Mkoani kila mwaka
  • Kufuatilia taarifa ya ukaguzi wa Elimu ya Msingi, kufuatilia na kutoa ushauri kwa walimu juu ya utekelezaji wa mitaala ya elimu
  • Kufuatilia ufundishaji katika shuel za msingi na kusimamia mtaala wa elimu
  • Kufuatilia taarifa ya ukaguzi wa Elimu ya Msingi, ufuatilia na kutoa ushauri kwa walimu juu ya utekelezaji wa mitaala ya elimu
  • Kuagiza na kusambaza vifaa vya elimu katika shule, kugawa fedha na kusimamia matumizi ya fedha katika shule
  • Kubaini na kusimamia ikama ya walimu katika shule, kusimamia na kufuatilia miradi ya ujenzi wa madarasa, nyumba za walimu, vyoo na utengenezaji samani za shule
  • Kusimamia na kufuatilia fedha zinazotolewa kwa ajili ya kuendesha Elimu ya Watu Wazima
  • Kuratibu utoaji wa Elimu ya Sekondari katika vituo vya ufundi stadi na watu binafsi nje ya mfmo rasmi.
  • Kusimamia uanzishaji na uendeshaji wa maktaba za Kata na Vijiji
  • Kushirikiana na sekta za Afya, M/jamii na mashirika ya Umma  kuendeleza Elimu Maalum kwa shule za Msingi na Sekondari
  • Kufuatilia na kutathmini maendeleo ya utoaji wa elimu katika shule, Kutunza kumbukumbu za vifaa vya kufundishia na kujifunzia
  • Kupanga, kuratibu na kusimamia michezo, kusimamia sera za michezo na utamaduni wa Kitanzania katika shule za msingi

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WANAFUNZI WA NACHINGWEA HIGH NA RUGWA BOYS WAAGWA KWA HAFLA FUPI, WAJIANDAA KWA MITIHANI YA TAIFA

    April 26, 2025
  • SDA NA LIIKE WATOA MAFUNZO YA HUDUMA YA KWANZA KWA MANGALIBA NA WALOMBO KWA AJILI YA KUIMARISHA UTAMADUNI SALAMA

    April 28, 2025
  • DED NACHINGWEA : AAGIZA MIRADI KUKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA KUZINGATIA VIWANGO

    April 09, 2025
  • RC LINDI : MIRADI YOTE ITAKAYOPITIWA NA MWENGE IZINGATIE MATUMIZI BORA YA FEDHA

    April 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.