• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

Maendelea ya Jamii, Vijana na Ustawi wa Jamii

Kuraghabishi jamii ili iweze kujiletea maendeleo yao endelevu kwa kutumia rasilimali walizonazo wenyewe.

Kufanya tafiti ndogondogo shirikishi za kijamii na kiuchumi ili kubaini matatizo waliyonayo na kutafuta ufumbuzi wa matatizo hayo kwa kutumia mpango wa fursa na vikwazo.

Kuihamasisha jamii kutumia teknolojia rahisi na sahihi ili kumpunguzia mwanamke mzigo wa kazi

Kuongoza na kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi mbalimbali kutoka sekta zote katika Halmashauri ya wilaya ambayo inahitaji ushirikishaji jamii

Kusajili na kuzisimamia asasi zisizo za kiserikali kutokana na ukweli kuwa asasi hizi ni washirika wa Halmashauri na Serikali kwa ujumla katika mchakato wa maendeleo.

Kukusanya Takwimu za kijamii, kutunza, kutafsiri na kusambaza Takwimu hizo kwa matumizi ya jamii kwa kuzingatia shughuli za sekta nyingine.

Kupambana na umaskini wa kipato kwa kuratibu utoaji na urejeshaji wa mikopo kwa wanawake na vijana kutokana na mifuko mbalimbali kama vile Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake(WDF) na Mfuko wa vijana.

Kuendeleza na kukidhi mahitaji ya makundi maalum katika jamii ikiwa ni pamoja na uanzishwaji wa dawati la jinsia kwa kila Idara.

Kuelimisha na kuhamasisha jamii juu  ya mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI

Kuelimisha na kuihamasisha jamii juu ya mila potofu zote zinazoweza kukwamisha jitihada za Wananchi katika kujiletea maendeleo yao kama vile mauaji ya vikongwe, mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino) na ukeketaji wa wanawake (Female Genital Mutilation)

Huduma kwa makundi maalum watu wenye ulemavu, watoto waishio katika mazingira hatarishi na wazee

Huduma kwa familia, watoto na vituo vya kulelea watoto wadogo mchana.

Huduma za majaribio na ujenzi wa tabia (Probation)

Kuratibu na kuboresha mitaala ya kufundishia stadi mbalimbali za maisha kwa vijana katika NGOs CBOs na Vituo vya Vijana.

Kuratibu shughuli za Maendeleo ya Vijana katika Vituo ,NGOs na CBOs  Wilayani

Kupanga, kusimamia na kuendesha mafunzo ya ujasiri kwa vijana ili kuwawezesha kukabiliana na matatizo yanayojitokeza katika maisha

Kuratibu shughuli za usajili wa NGOs na CBOs zinazofanywa na Wilaya

Kuhamasisha na kushauri juu ya uanzishaji wa vituo vya vijana katika wilaya na kuratibu na kusimamia mfuko wa Vijana (YDF)

Kukusanya taarifa mbalimbali muhimu,Kutafsiri na kusambaza kwa jamii

Kuratibu mafunzo ya utoaji wa mbinu za kuwasaidia vijana kujikomboa na umasikini, ujinga na kupiga vita UKIMWI ,madawa ya kulevya na kutetea usawa wa jinsia.

Kufanya uchambuzi wa matatizo ya jamii na kutoa ushauri wa kitaalamu kwa Halmashauri,

Kuhamasisha uandaaji wa mipango ya uwiano ya Maendeleo ya Wilaya

Kuvisaidia vikundi maalum (ushirika/CBOs/kidini) kuandaa Miradi (project write –up)na kuwawezesha namna ya kupata miradi.

  • Kusimamia utekelezaji wa Sera za maendeleo za fani mbalimbali katika wilaya
  • Kuwaongoza na kuwasimamia, watumishi wa Maendeleo ya jamii wa ngazi ya Tarafa, kata na vijiji
  • Kuratibu na kusimamia mafunzo ya viongozi wa vijiji na vikundi mbali mbali vya maendeleo wilayani.
  • Kukusanya taarifa mbalimbali muhimu na kusisambaza kwa jamii
  • Kuandaa mikutano ya maafisa maendeleo ya jamii wa kata kuzungumzia matatizo,mafanikio na kuandaa mikakati ya uboreshaji wa  Maisha/ Maendeleo ya wananchi katika Tarafa
  • Kueneza elimu ya uraia mwema na kuratibu kazi za Uraghibishi katika Idara na Taasisi zingine
  • Kuandaa, kuhakiki na kupendekeza maombi ya mikopo ya vikundi na kupokea marejesho ya mikopo

Kupokea na kukusanya takwimu zinazohusu huduma za watu wenye ulemavu,wazee, malezi ya watoto na familia zenye matatizo

Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya uandikishaji vituo vya kulelea watoto mchana, malezi yakambo, na vyuo vya walezi wa watoto wadogo mchana

Kupokea,kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya msaada wa Rais kutoka kwa akinamama waliojifungua watoto watatu au zaidi kwa wakati mmoja

Kupokea, kuchambua nakuandaa orodha ya maombi ya watoto yatima au wanaohitaji misaada mbalimbali.

Kupokea, kuchambua nakuandaa orodha ya maombi mbalimbali kutoka kwenye familia na watu wenye dhiki

  • Kuhoji na kuandaa taarifa za washtakiwa

Kusimamia wahudumiwa katika makazi, vyuo vya mafunzo ya ufundi stadi vya watu wenye ulemavu, mahabusu za watoto na shule za maadilisho

  • Kuihamasisha jamii kutumia teknolojia rahisi na sahihi ili kumpunguzia mwanamke mzigo wa kazi
  • Kusimamia ujenzi wa nyumba bora vijijini

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • NACHINGWEA DC YAKABIDHI JUKUMU LA UZOAJI TAKA KWA KAMPUNI YA KASANDRA CLEANING SERVICE

    March 16, 2023
  • DEO MSINGI AFANYA KIKAO CHA TATHIMINI YA ELIMU YA MWEZI JANUARI NA FEBRUARI 2023

    March 14, 2023
  • MKOA WA LINDI KUENDELEA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUPITIA MIKOPO YA HALMASHAURI

    March 08, 2023
  • WAZAZI WA WANAFUNZI AMBAO HAWATAFANYA MITIHANI YA MUHULA KUHOJIWA OFISI ZA KATA

    February 08, 2023
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AKIZUNDUA MRADI WA MAJI NAMIKANGO
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.