Imetumwa : September 19th, 2024
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Selemami Jafo amefanya ziara ya kikazi ya kukagua kuweka mawe ya msingi na kuzindua miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali wilayani Nachingwea leo September 19 ...
Imetumwa : September 22nd, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea imeweka historia kwa kufunga mashine za virutubishi, ikiwa ni hatua ya kwanza katika kuboresha huduma za afya na lishe katika wilayani Nachingwea.
...
Imetumwa : September 9th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mheshimiwa Mohammed Hassan Moyo ameshiriki kama mgeni rasmi katika sherehe za kuhitimu mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria zilizofanyika leo Septemba 9, 2024 katika viwanj...