Imetumwa : November 15th, 2021
Hali ya maendeleo ya ujenzi kituo cha Afya kata ya Namatula unaendelea vizuri ambacho kinajengwa kutokana na tozo za miamala ya simu Tsh Milioni 250 . Picha ya Tarehe 11/15/2021...
Imetumwa : October 25th, 2021
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa , ameweka jiwe la msingi katika shule ya sekondari ya wavulana inayojengwa kata ya Chiumbati Oktoba 25, 2021.
Aidha, &nb...