Imetumwa : May 3rd, 2023
Mkuu wa wilaya Nachingwea Mhe. Mohamed Hassan Moyo amemuagiza Mkuu wa Idara ya kilimo Wilayani humo kuhakikisha wanakua na kazi data ili kuwaondolea usumbufu wananchi kuandikishwa kila mwaka.
...
Imetumwa : May 2nd, 2023
Hospitali ya wilaya ya Nachingwea imepokea vifaa tiba vya kisasa vya ICU vyenye gharama ya zaidi millioni 383 kwa ajili ya kutoa huduma kwa wagonjwa watakao na hali mbaya zaidi.
Akizungumza...
Imetumwa : April 27th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mhe. Mohamed H. Moyo amezindua rasmi maadhimisho ya wiki ya chanjo duniani ngazi ya wilaya kuanzia 24-30 april, 2023 ambapo amesisitiza wazazi na walezi kuwapeleka watoto ...