Imetumwa : March 26th, 2025
Leo, tarehe 26 March Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mheshimiwa Mohamed Hassan Moyo, amegawa mitungi ya gesi 1600 kwa wakina mama waliolipia nusu ya gharama, yaani shilingi 19,500 kila mmoja.
...
Imetumwa : March 8th, 2025
Leo, tarehe 8 Machi 2025, maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yamefanyika kimkoa wilayani Nachingwea, mkoani Lindi, katika viwanja vya Maegesho ya Malori. Mgeni rasmi katika hafla hiyo Mheshimiwa ...
Imetumwa : March 8th, 2025
Marie Stopes imefanya matukio muhimu kuadhimisha Siku ya Wanawake katika Wilaya ya Nachingwea, ambapo walitoa huduma mbalimbali kwa jamii kuanzia Machi 6 hadi Machi 8, 2025. Katika siku ya Ko...