Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha MAKINI ndugu Sharifa Hashim Issa leo Agosti 23, 2025 amefika ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Nachingwea na kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo.
Bi Sharifa ni mkazi wa Kata ya Chiola katika Kijiji cha Chiola, ana umri wa miaka 26 na anajishughulisha na shughuli za uuzaji chakula yaani mama nitilie
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.