Mkuu wa Divisheni ya Elimu Sekondari ya Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea Mwalimu Jonas Joas amewasisitiza wanafunzi na wananchi kuhamisha ndugu na jamii kujiunga na elimu ya watu wazima ili kutimiza malengo waliojiwekea. Hayo ameyasema leo Agosti 22, 2025 alipokua katika Maadhimisho ya Wiki ya Elimu ya watu wazima.
Mwalimu Joasi amesema, wapo watanzania wengi wangetamani kuendelea na Elimu ambayo waliacha kwa sababu moja ama nyingine, hivyo kama wakijiunga na Elimu ya watu wazima basi wanaweza kufikia malengo yao.
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.