Imetumwa : June 11th, 2025
Tarehe 11 Juni 2025, Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Zainabu Telack, amesema kuwa maonesho ya pili ya madini yanayoendelea katika viwanja vya Madini, Wilaya ya Ruangwa kuanzia Juni 11 hadi 14, ya...
Imetumwa : June 11th, 2025
Juni 11 2025 Maonesho ya pili ya madini yajulikanayo kama Lindi Mining Expo 2025 yamezinduliwa Wilayani Ruangwa, mkoani Lindi, yakilenga kutangaza fursa za madini na kuvutia wawekezaji ...
Imetumwa : June 9th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mohamed Hassan Moyo, amewataka maafisa ugani kusimamia ipasavyo majukumu yao ili kuongeza tija na uzalishaji wa mazao kwa kutumia pembejeo na viuatilifu vinavyot...