Imetumwa : January 18th, 2025
Habari Picha:
Nachingwea jogging inaendelea kuwa hamasa kubwa kwa jamii, ambapo wakazi wa mji huu wanashiriki mazoezi ya kawaida katika viwanja vya Sababa. Hii ni fursa nzuri ya kuimarisha afya ya ...
Imetumwa : January 7th, 2025
Leo, Januari 7, 2025, Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mhe. Mohamed Hassan Moyo, amekabidhi vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo maarufu kama "Machinga" katika kata ya Naipanga...
Imetumwa : January 9th, 2025
Mheshimiwa Mohamed Hassan Moyo, Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, ameitisha kikao kazi kilichohusisha wazabuni, mafundi, wenyeviti wa vijiji, madiwani, waalimu, na watendaji. Kikao hicho...