Imetumwa : February 11th, 2025
Feb 11,2025 Benki ya Taifa tawi la Mtwara kupitia Meneja wake bwana Melchiades Rutayebesibwa imetoa mafunzo kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea juu ya utambuzi wa Noti sahihi...
Imetumwa : February 5th, 2025
Katika mwaka wa fedha 2025/2026 Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea inakusudia kukusanya na kutumia jumla ya Shilingi 40,595,578,276.00 kutoka vyanzo tofauti ndani ya Halmashauri hiyo na serikali kuu,...
Imetumwa : January 28th, 2025
Leo, tarehe 28 Januari 2025, Halmashauri ya Nachingwea imefunga mtambo wa kusaga kokoto na kuvunja mawe katika Kata ya Chiumbati, hatua ambayo inatarajiwa kutatua changamoto za ucheleweshaji ...