Imetumwa : September 3rd, 2025
Nachingwea, 2 Septemba 2025 Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe. Mohamed Hassan Moyo, amefunga rasmi mafunzo ya Jeshi la Akiba yaliyofanyika katika Uwanja wa Sokoine, ambapo jumla ya vijana 128 wamehitim...
Imetumwa : August 23rd, 2025
Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha MAKINI ndugu Sharifa Hashim Issa leo Agosti 23, 2025 amefika ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Nachingwea na kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo.
...
Imetumwa : August 29th, 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya Nachingwea, Mhandisi Chionda M.Kawawa ametangaza rasmi ujio wa msimu wa pili wa Kituo cha huduma jumuishi maarufu kama ONE STOP CENTER,
Ameyasema ...