Imetumwa : August 23rd, 2025
Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha MAKINI ndugu Sharifa Hashim Issa leo Agosti 23, 2025 amefika ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Nachingwea na kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo.
...
Imetumwa : August 29th, 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya Nachingwea, Mhandisi Chionda M.Kawawa ametangaza rasmi ujio wa msimu wa pili wa Kituo cha huduma jumuishi maarufu kama ONE STOP CENTER,
Ameyasema ...
Imetumwa : August 22nd, 2025
Mkuu wa divisheni ya Utawala na Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, Kwa niaba ya Mkurugenzi, Bi Rachel Lububu, amewataka wanafunzi kushiriki kikamilifu katika kuhamasisha jamii juu ya umu...