Imetumwa : July 17th, 2024
Hayo yameelezwa Leo June 18, 2024 na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Dunstan Kitandula katika ziara yake ya kikazi Wilaya ya Nachingwea ambapo ameeleza kuwa, Serikali inatambua changamo...
Imetumwa : July 30th, 2024
Julai 29, 2024 Mkuu wa Wilaya ha Nachingwea Mheshimwa Mohamed Hassan Moyo amefanya kongamano kubwa lililo shirikisha viongozi mbalimbali pamoja na wananchi katika ukumbi wa Chuo cha Walimu Nachingwea ...
Imetumwa : July 4th, 2024
Chama kikuu cha ushirika Runali kimekabidhi printer 106 kwa vyama vya msingi katika Wilaya za Liwale, Ruagwa na Nachingwea zenye thamani ya zaidi ya shiling mil 80.
Akikabidhi vifaa hivyo ...