Mkuu wa Wilaya ya Nachimgwea Mheshimiwa Mohamed Hassan Moyo ameipongeza Halmashauri ya Nachingwea na shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nachingwea kwa kuanza kutumia nishati safi kwa ajili ya kupikia.
Hayo ameyasema March 25, 2025 alipoenda kutembelea mradi huo, Mheshimiwa Moyo ametoa pongezi hizo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri kwa kuunga mkono jitihada za Dokta Samia Suluhu Hassan za kuhamasisha matumizi ya Nishati safia nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.