Imetumwa : September 22nd, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea imeweka historia kwa kufunga mashine za virutubishi, ikiwa ni hatua ya kwanza katika kuboresha huduma za afya na lishe katika wilayani Nachingwea.
...
Imetumwa : September 9th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mheshimiwa Mohammed Hassan Moyo ameshiriki kama mgeni rasmi katika sherehe za kuhitimu mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria zilizofanyika leo Septemba 9, 2024 katika viwanj...
Imetumwa : September 5th, 2024
Eng. Khalifa Kitojo ambaye ni Kamanda wa TAKUKURU Nachingwea amewataka jamii za wafugaji kuepuka rushwa katika uchaguzi wa 2024 kwani rushwa ni kikwazo cha maendeleo, ameyasema hayo septemba 5, ...