Imetumwa : October 20th, 2024
Chama kikuu cha ushirika RUNALI, kinachohudumia wilaya za Liwale, Nachingwea na Ruangwa, leo tarehe 20 Oktoba kimeendesha mnada wa pili wa zao la korosho uliofanyika katika kijiji cha Liku...
Imetumwa : October 16th, 2024
Mheshimiwa Diwani viti maalum kata ya Mpiruka, Veronica Makotha, alifanya mkutano muhimu katika kijiji cha Mkumba. Lengo la mkutano huo lilikuwa kuhamasisha uandikishaji katika daftari la wakazi na ku...
Imetumwa : October 18th, 2024
Tarehe 18 Oktoba 2024, Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea Dr Ramadhani Maige, amefungua rasmi mafunzo ya matibabu ya utapiamlo mkali kwa watoa huduma za afya ngazi ya hospitali na vituo ...