Imetumwa : August 18th, 2024
Mnada wa kwanza wa zao la mbaazi umefanyika katika kijiji cha Mkonjela kwenye chama cha Ndangalimbo Amcos, katika mnada huo wakulima wamekubali kuuza tani 6,255 kwa bei ya juu sh 1920 na bei ya ...
Imetumwa : August 14th, 2024
Agosti 15, 2024 imefanyika programu ya uwezeshaji wananchi Kiuchumi Mkoa wa Lindi iliyoambatana na mafunzo ya jinsi ya kujisajiri kwenye mfumo E-Dodoso liliofanyika kwenye ukumbi wa Kagwa mjini Lindi....
Imetumwa : August 15th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mheshimiwa Mohamed Hassan Moyo amewataka wenyeviti wa vitongoji wanaounda baraza la mamlaka ya miji mdogo ambao wanamaliza muda wao kuepuka vitendo vya rushwa na kusaidia ...