• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

MADIWANI NA MKURUGENZI HONGERENI KWA USIMAMIZI MADHUBUTI WA MIRADI

Imetumwa : May 5th, 2025


Mei 5, 2025 Kamati ya Mipango na Fedha ya Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea imefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Kata za Chiumbati shuleni na Naipingo, ikilenga kuhakikisha miradi inakamika kwa wakati.


Katika ziara hiyo, kamati imetembelea mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari katika Kata ya Chiumbati wenye thamano ya shilingi milioni 560, pamoja na bweni la wavulana katika Shule ya Sekondari Rugwa Boys lenye thamani ya shilingi milioni 147, kamati katika bweni hilo imelenga kujiridhisha na hatua ya umaliziaji kabla ya mzabuni kulipwa fedha zilizobaki kufuatia maagizo yaliyotolewa katika ziara ya awali.


Kamati ilikagua ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Naipingo yenye thamani ya shilingi milioni 50 za mapato ya ndani, pamoja na jengo la kisasa la utawala lenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 3.


Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mheshimiwa Adinan Mpyagila, amewapongeza watendaji wa Halmashauri wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya, Mhandisi Chionda Kawawa kwa usimamizi mzuri na utekelezaji madhubuti wa miradi, pia amehimiza kuendelea kushughulikia changamoto ndogondogo zilizosalia ili kuongeza tija na kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati uliopangwa.


Mheshimiwa Mpyagila amewashukuru madiwani kwa kusimamia miradi hiyo katika maeneo yao, na kuwapongeza wananchi kwa ushirikiano wao katika kufanikisha maendeleo ya Wilaya ya Nachingwea.


Kwa pamoja, wajumbe wa kamati hiyo wameonesha kuridhishwa na hatua za utekelezaji wa miradi hiyo, na kuahidi kuendelea kutoa ushirikiano katika kufanikisha malengo ya maendeleo kwa wananchi.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MWENGE WAPITIA MIRADI YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 2.2 CHANGAMOTO ZA MAJI,AFYA ZA MALIZWA WANANCHI WAFURAHIA NISHATI SAFI

    May 29, 2025
  • VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WATAKIWA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU KWA AWAMU YA PILI

    May 13, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA KIWANGO CHA LAMI NACHINGWEA

    May 29, 2025
  • RUNALI YAANZA MAANDALIZI YA MSIMU WA UFUTA NA MBAAZI KWA MSINGI WA UBORA NA UWAJIBIKAJI

    May 28, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.