Imetumwa : October 7th, 2024
Leo 7 Oktoba 2024,Waandikishaji wa wapiga kura (576) wamepewa mafunzo katika ukumbi wa mikutano wa TTC Nachingwea, ambapo kati yao 525 ni waandikishaji kutoka katika vitongoji vyote vya Nachingw...
Imetumwa : October 6th, 2024
Mhandisi Chionda A. Kawawa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, amewataka Maafisa wa Maendeleo ya Jamii kujikita katika kuwajenga wananchi katika masuala ya kuinua uchumi wao b...
Imetumwa : October 5th, 2024
Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Nachingwea Mhandisi Chionda A. Kawawa, awashukuru wananchi wa Nachingwea kwa kushirikiana na Halmashauri katika masuala mbalimbali, pia ametoa ...