Imetumwa : April 3rd, 2025
Leo, tarehe 3 Aprili, Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mheshimiwa Amandus Chinguile,akiambatana na kamati ya mfuko wajimbo ametembelea na kuweka jiwe la msingi kwenye Mradi wa Shule ya Msingi Mtuti iliy...
Imetumwa : March 25th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Nachimgwea Mheshimiwa Mohamed Hassan Moyo ameipongeza Halmashauri ya Nachingwea na shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nachingwea kwa kuanza kutumia nishati safi kwa ajili ya kupikia....
Imetumwa : March 20th, 2025
Tarehe 20 Machi, Mh. Adnan Mpyagila, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nachingwea, amefanya ziara ya kutembelea miradi ya ujenzi wa shule za sekondari. Ameangalia ujenzi wa Shule ya Sekondari Kata Mt...