• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

MAELFU WAJITOKEZA KWENYE KILELE CHA MAONESHO YA MADINI MKOA WA LINDI 2025

Imetumwa : June 14th, 2025

Maelfu ya watu wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika kilele cha Maonesho ya Madini Mkoa wa Lindi yanayofanyika katika Viwanja vya maonesho ya madini vilivyopo Kilimahewa, wilayani Ruangwa leo tarehe 14 Juni, 2025.

Mahudhurio hayo makubwa yanajumuisha viongozi wa Serikali, viongozi wa dini, vyama vya siasa na wananchi wa Mkoa wa Lindi, pamoja na wageni kutoka ndani na nje ya nchi, ikiwa ni ishara ya mwitikio chanya na hamasa kubwa kutoka kwa jamii kuhusu nafasi ya sekta ya madini katika kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Aidha, kilele cha maonesho hayo kimeendelea kuwa kivutio kikubwa kwa wananchi wa kada mbalimbali, wajasiriamali, wanafunzi na wadau wa maendeleo, huku shughuli mbalimbali zikiendelea viwanjani tangu asubuhi.

Ikumbukwe, maonesho haya ni sehemu ya mkakati wa Mkoa wa Lindi kuhamasisha ushiriki wa wananchi katika uchumi wa madini na kuvutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. 

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SEKTA YA MADINI INATAMBUA UMUHIMU WA WACHIMBAJI WADOGO, SERIKALI INAANDAA MAZINGIRA BORA KWA AJILI YAO.

    June 14, 2025
  • WIZARA YA MADINI YAIPONGEZA SERIKALI YA MKOA WA LINDI KWA KUANDAA MAONESHO YA MADINI

    June 14, 2025
  • WACHIMBAJI WADOGO WAPATIWA ELIMU YA UCHIMBAJI KUFUATANA NA MABADILIKO YA KITEKNOLOJIA

    June 14, 2025
  • MAELFU WAJITOKEZA KWENYE KILELE CHA MAONESHO YA MADINI MKOA WA LINDI 2025

    June 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.