• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

SEKTA YA MADINI INATAMBUA UMUHIMU WA WACHIMBAJI WADOGO, SERIKALI INAANDAA MAZINGIRA BORA KWA AJILI YAO.

Imetumwa : June 14th, 2025

Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Madini Mheshimiwa Dokta. Steven Kiruswa kwa niaba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kilele cha Maonesho ya Madini na Fursa za Uwekezaji Mkoa wa Lindi, Juni 14, 2025 Wilayani Ruangwa, amesema Wizara ya Madini inafahamu umuhimu wa ushiriki wa wachimbaji wadogo katika sekta ya Madini hivyo inaendelea kutoa elimu, tekinolojia ya uchimbaji na uchenjuaji wa madini.


Dkt Kiruswa amesema serikali imeandaa mazingira bora kwa wachimbaji wadogo  kwa kuanzisha leseni ndogo kwa ajili ya wachimbaji wadogo, amesisitiza kwamba sekta ya madini inasimamiwa vizuri na masoko yameongezeka kutoka 1 hadi kufikia 43 kwa sasa.


Hivyo ili kuongeza thamani serikali inataka madini yetu kuchimbwa na kuchakatwa hapahapa nchini na sio kupelekwa nje ya nchi kama ambavyo inafanyika sasa kwa baadhi ya madini,  hvyo serikali ipo katika mchakato wa kulifanikisha hilo.


Pia, ametolea ufafanuzi swala la leseni kwa wachimbaji wa mgodi wa Nditi, amesema serikali imelipokea swala hilo la kupatiwa  leseni na ipo njiani kulifanyia utatuzi hivyo wana Nditi wanaombwa kuwa na subira kwani hivi karibuni jambo lao la muda mrefu litatimia.


Aidha, Kwa niaba ya Waziri Mkuu amesisitiza wananchi wote kushiriki katika Uchaguzi Mkuu ili kutimiza malengo na maslahi ya nchi ambayo yalianza kutekelezwa tangu awamu ya sita ilipoingia madarakani.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SEKTA YA MADINI INATAMBUA UMUHIMU WA WACHIMBAJI WADOGO, SERIKALI INAANDAA MAZINGIRA BORA KWA AJILI YAO.

    June 14, 2025
  • WIZARA YA MADINI YAIPONGEZA SERIKALI YA MKOA WA LINDI KWA KUANDAA MAONESHO YA MADINI

    June 14, 2025
  • WACHIMBAJI WADOGO WAPATIWA ELIMU YA UCHIMBAJI KUFUATANA NA MABADILIKO YA KITEKNOLOJIA

    June 14, 2025
  • MAELFU WAJITOKEZA KWENYE KILELE CHA MAONESHO YA MADINI MKOA WA LINDI 2025

    June 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.