baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea chini ya mwenyekiti wake Mhe. Adinani Mpyagila limepitisha bajeti ya mwaka 2022/2023 jumla ya fedha Shilingi Bilioni 33. 822 ambazo zinakusudiwa kukusanywa kutoka Mapato ya ndani ya Halmashauri , Ruzuku toka serikali kuu, Miradi ya Maendeleo na Ruzuku kwa ajili ya mishahara na Mapato kutokana na huduma za Afya (Transfer payments)
Aidha, Katibu wa baraza hilo Eng. Chionda A. Kawawa amewasihi waheshimiwa madiwani kudumisha ushirikiano kwa lengo la kufanikisha mikakatinna Malengo yaliyoweka hasa ya kuongeza Mapato ya Halmashauri.
Habari zaidi tembelea
#www.nachingweadc.go.tz
@nachingwea_fm
@halmashaur_ya_nachingwea
Waheshimiwa madiwani
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.