• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

WAAJIRI WAMETAKIWA KUWA MFANO WA KUIGWA KWA KUZINGATIA TARATIBU NA SHERIA ZOTE ZINAZOHUSU AJIRA

Imetumwa : May 1st, 2025

Mei Mosi - Mkoa wa Lindi

Katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yaliyofanyika kimkoa Wilayani Liwale, waajiri wametakiwa kuhakikisha wanazingatia sheria, taratibu, miongozo na haki za wafanyakazi ili kujengamazingira bora ya kazi.


Hayo yamesemwa na Mhe. Goodluck Mlinga, Mkuu wa Wilaya ya Liwale kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi alipokua akihutubia wafanyakazi, viongozi wa serikali, na wananchi waliohudhuria na kusisitiza kuwa uhusiano mwema baina ya waajiri na waajiriwa hauwezi kujengwa bila kufuata misingi ya haki, sheria za kazi na taratibu za ajira.

"Waajiri mnapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa kuhakikisha mnazingatia sheria zote zinazohusu ajira. Haki ya mfanyakazi ni msingi wa maendeleo ya taasisi na taifa kwa ujumla, alisema Mhe. Mlinga.

Aidha, amesisitiza kuwa serikali itaendelea kuhakikisha sheria za kazi zinasimamiwa ipasavyo ili kuhakikisha wafanyakazi wanafanya kazi katika mazingira salama, yenye staha na yenye kulinda utu wao.

"Waajiri wote wanapaswa kufuata sheria na miongozo ya kazi kwa kuzingatia sheria na maadili kazini namba. 366. Ninaagiza waajiri wote kuzingatia sheria hiyo na iwapo kuna malalamiko yapelekwe kwenye ofisi ya Kazi mkoa na kuyawasilisha malalamiko ya maslahi ya wafanyakazi katika mamlaka husika ili kuweza kuyafanyia kazi kwa wakati".


Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu Ndg. Nathalis Linuma, akitoa salamu za Katibu Tawala Mkoa wa Lindi kwa wafanyakazi ameeleza kuwa ni muhimu kusheherekea sikukuu yao ya wafanyakazi na kuzingatia kauli mbiu inayohimiza ushiriki wa wafanyakazi katika Uchaguzi Mkuu na kuitafakari kwa kina ili kuitendea haki kwa wakati ili kuchagua viongozi ambao watatetea maslahi yao.

Nyabange Mgendi, Katiku wa CWT wilaya ya Nachingwea, ameiomba serikali kuendelea kutia mkazo kwenye maslahi ya wafanyakazi hususan katika stahiki zao ikiwemo mafao ya kustaafu, posho za likizo na uhamisho pamoja na kujiendeleza kimasomo.


Kauli mbiu ya maadhimisho ya Mei Mosi 2025 inasema " Uchaguzi Mkuu 2025 Utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi , Sote Tushiriki"

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MWENGE WAPITIA MIRADI YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 2.2 CHANGAMOTO ZA MAJI,AFYA ZA MALIZWA WANANCHI WAFURAHIA NISHATI SAFI

    May 29, 2025
  • VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WATAKIWA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU KWA AWAMU YA PILI

    May 13, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA KIWANGO CHA LAMI NACHINGWEA

    May 29, 2025
  • RUNALI YAANZA MAANDALIZI YA MSIMU WA UFUTA NA MBAAZI KWA MSINGI WA UBORA NA UWAJIBIKAJI

    May 28, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.