Imetumwa : May 3rd, 2023
Mkuu wa wilaya Nachingwea Mhe. Mohamed Hassan Moyo amemuagiza Mkuu wa Idara ya kilimo Wilayani humo kuhakikisha wanakua na kazi data ili kuwaondolea usumbufu wananchi kuandikishwa kila mwaka.
...
Imetumwa : May 2nd, 2023
Hospitali ya wilaya ya Nachingwea imepokea vifaa tiba vya kisasa vya ICU vyenye gharama ya zaidi millioni 383 kwa ajili ya kutoa huduma kwa wagonjwa watakao na hali mbaya zaidi.
Akizungumza...
Imetumwa : April 28th, 2023
Kamati ya fedha, uongozi na mipango ikiongozwa na Mhe. Adinani Mpyagila ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri imefanya ziara April 27, 2023 ya kukagua miradi ya maendeleo katika maeneo mawili....