Imetumwa : February 19th, 2025
Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imezinduliwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Februari 19, 2025 katika Viwanja wa Madini wilayani Ruangwa.
...
Imetumwa : February 11th, 2025
Feb 11,2025 Benki ya Taifa tawi la Mtwara kupitia Meneja wake bwana Melchiades Rutayebesibwa imetoa mafunzo kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea juu ya utambuzi wa Noti sahihi...
Imetumwa : February 5th, 2025
Katika mwaka wa fedha 2025/2026 Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea inakusudia kukusanya na kutumia jumla ya Shilingi 40,595,578,276.00 kutoka vyanzo tofauti ndani ya Halmashauri hiyo na serikali kuu,...