• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

KAMPENI YA KITAIFA YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA YAZINDULIWA RASMI

Imetumwa : February 19th, 2025

Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imezinduliwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Februari 19, 2025 katika Viwanja wa Madini wilayani Ruangwa.


Mhe Majaliwa amesema lengo la kampeni hii ni kuongeza haki na kuwatambulisha wananchi ubunifu uliofanywa na Rais Dr Samia Suluhu Hassan wa utaratibu wa kuwafikishia wananchi wasio na uwezo wa kujipatia huduma za misaada ya kisheria misaada ya kisheria bure.

Kampeni hii ilizinduliwa mnamo mwezi March 21, 2024 na Lindi ni Mkoa wa 19 tangu kuzinduliwa kwakampeni hiyo,

wadau wamekua na mchango mkubwa katika kuhakikisha kampeni hii inawasaidia wananchi bila gharama, pia ametoa shukrani na pongezi kwa Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa utawala bora na wenye maono ya mbali unaowanufaisha Watanzania, Rais anafahamu shida na kero za wananchi wenye kipato cha chini katika masuala ya kisheria na akaanzisha kampeni hii.

Kampeni hii imeleta matokeo mazuri kwani wananchi mbalimbali katika kila Mkoa ambako kampeni hii imepita wamepata na wanaendelea kupata haki zao kwani tangu kuzindualiwa kwa kampeni hii March 21, 2024 huduma hii imewafikia  jumla ya wanachi 1,373,099 na miongoni mwa wanufaika wa Kampeni hii ni watoto, wanafunzi na wajane na imetatua kero mbalimbali katika kesi mbalimbali za mirasi kwa wananchi 5ambao walipokonywa haki zao

Aidha, Majaliwa amewataka Wakuu wa Wilaya na Mikoa kuhakikisha haki za wananchi zinapatikana kulingana na sheria husika kwani hasa ndio lengo la Dokta Samia na serikali ina mpango wa kuajiri wanasheria wapya 500 na kuwatawanya katika kila halmashauri


Huduma hizi zitatolewa siku 9 mfululizo kuanzia February 20 hadi 28 katika ngazi ya wilaya kata na vijiji huku zikienda na kauli mbiu isemayo 


Haki, Usawa, Amani na Maendeleo.




Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • VIKUNDI 55 VYA WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% WAJENGEWA UWEZO

    July 03, 2025
  • WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% WATAKIWA KUWA NA NIDHAMU YA FEDHA, MILIONI 649 ZAKOPESHWA AWAMU YA PILI

    July 03, 2025
  • NACHINGWEA YAJIFUNZA MBINU BORA ZA USIMAMIZI WA MIGODI KUTOKA GEITA

    June 27, 2025
  • WATUMISHI LINDI WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA USHIRIKI WA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KUJIFUNZA.

    June 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.