Kuratibu na kuhamasisha shughuli za biashara na viwanda Wilayani, kutoa elimu ya biashara kwa Wajasiriamali na watu walioko katika biashara
Kutayarisha ripoti za biashara na masoko, kubuni vyanzo vya mapato na
Kutoa leseni za biashara na kufanya ukaguzi
Kutafanya na kukagua kazi ya maingizo “Posting” kwenye daftari la fedha “Cash books” za matumizi na kuhakikisha zinafanywa kila siku na wahusika mara tu malipo yanapokamilika.
Kusimamia na kutafanya ukaguzi wa kuona kuwa kazi ya uchambuzi na uhifadhi wa nyaraka “Batching” inafanyika kila malipo yanapokamilika kila siku ya kazi.
Kutatoa taarifa juu ya utendaji usioridhisha wa vitengo vyote vidogo vilivyo chini ya kitengo cha matumizi kwa Mtunza Hazina kila itakapobidi.
Kukagua vitabu vya kutunzia kumbukumbu za fedha “Vote books” na taarifa ya mapato na matumizi ya kila mwezi na kuhakikisha matumizi hayazidi bajeti kwa kila kifungu kwa akaunti zote za Halmashauri.
Kuaandaa taarifa mbalimbali zinazohusiana na mifuko ya Halmashauri kila mwezi/mwaka pale zitakapohitajika.
Kukagua na kusimamia uandaaji wa madaftari ya udhibiti wa fedha “Control Cash Books”.
Kuaandaa Urari wa fedha, hati ya mapato na matumizi (Statement of financial performance)na mizania kwa kila mwezi na mwaka kwa mifuko unayofanyia kazi.
Kufuatilia madeni/wadeni wa Halmashauri na kuona wanailipa Halmashauri kwa wakati
Utahakikisha kuwa hakuna salio la makosa/la miamala iliyoibuliwa “Any outstanding item” katika mifuko hiyo.
Utakagua vitabu vyote vya kukusanyia mapato toka kwa wakusanya mapato na kuvitolea taarifa.
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.