| Kuandaa na Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Mazingira ya mwaka 1997; Kusimamia utekelezaji wa sheria ya mazingira Na 20 ya 2004;
|
| Kutoa ushauri kwa kamati ya mazingira ya wilaya katika masuala yanayohusu usimamizi na uendelezaji wa mazingira katika wilaya
|
| Kufanya uraghibishi wa elimu ya mazingira
|
| Kukusanya na kutunza taarifa za mazingira na matumizi ya rasilimali asilia
|
| Kuandaa, kufuatilia, kufanya mapitio na usahili wa tathmini ya athari za mazingira (approval of the environmental impact assessment).
|
| Kupitia na kuzifanyia marekebisho sheria ndogo za usimamizi wa mazingira za vijiji na halmashauri ya wilaya (by laws), na kazi za idara katika halmashauri ya wilaya zinazohusiana na mazingira
|
| Kutoa ripoti kwa Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi Kiongozi wa Mazingira, Kuratibu maadhimisho ya siku ya mazingira duniani
|
| Kufanya tathmini ya athari ya mazingira katika miradi na kuhakiki tathmini ya athari kwa mazingira
|
| Kudhibiti uharibifu na kuhifadhi mazingira ya asili, Kusimamia utawala kwa watumishi idara ya Usafi na Mazingira
|
| Kufanya ukaguzi wa Afya ya Jamii (Public health Inspect)
|
| Kufanya uhakiki na kupitisha mipango ,michoro na ramani ya ujenzi (Scrunitiny and approval of building plan)
|
| Kusimamia udhibiti wa taka ngumu na taka kimiminika (Waste management)
|
| Kusimamia usalama wa afya mahali pa makazi ( Occupational health and safety)
|
| Kukuza na kuendeleza afya na usafi (Health promotion), Kukagua usalama, ubora na usafi wa chakula (Food safety and hygiene)
|
| Kudhibiti magonjwa yanayoambukizwa na yasiyo ambukizwa (Communicable diseases and non communicable diseases control
|
| Kudhibiti uchafuzi wa Mazingira (Pollution control), Kusimamia na kudhibiti wa majanga (Disaster Management)
|
| Kufanya Chanjo (Vaccination), Kusimamia Afya na usafi mjini na vijijini (Hygiene and sanitation)
|
| Kudhibiti wadudu hatari kwa binadamu na mazingira wanaoruka na wanaotambaa (Vector and venin control)
|
| Kuzika miili iliyokufa (Disposal of the dead), Kudhibiti magonjwa ya milipuko (Diseases surveillance and response)
|
| Kufanya mafunzo juu ya sayansi ya afya ya mazingira (Conduct training related to environmental health sciences)
|
| Kuzuia na kudhibiti ajali (Accidental prevention and control), Kudhibiti usalama na ubora wa Maji (Water safety and quality control)
|
| Kufanya tathimini ya athari ya afya ya mazingira (Carrying out environmental healthy impact assessment)
|
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.