Tovuti italinda faragha na usalama wa wanaotembelea, haitokusanya wala kutoa taarifa binafsi wakati unapotembelea tovuti yetu isipokuwa kwa uamuzi binafsi wa kutoa taarifa.
Tovuti hii ina viungo kwenda tovuti nyingine za Serikali ambazo kwa namna moja au nyingine zimetofautiana kwenye ulinzi wake wa data na kanuni za faragha zinaweza kutofautiana na za kwetu. Hatuwajibiki kwa maudhui na kanuni za faragha za tovuti hizo na tunashauri uangalie ilani za faragha za tovuti hizo kabla hujatumia.
Mabadiliko ya sera ya faragha
Kukitokea mabadiliko yoyote katika sera hii, tuwaweka taarifa iliyohuishwa mara moja katika ukurasa. Aidha ,tunashauri ukurasa huu mara kwa mara na kusoma taarifa zilizohuishwa ili kupata uelewa wa mabadiliko ya sera yetu
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.