• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

NDEGE NYUKI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILION 45 YA KUFUKUZIA TEMBO YAZINDULIWA NACHINGWEA.

Imetumwa : September 7th, 2024

Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mheshimiwa Mohamed Hassan Moyo leo Septemba 7, 2024 amefanya uzinduzi wa Ndege Nyuki (Isiyo na Rubani) ya kisasa yenye thamani ya Sh Milioni 45 ikiwa maalumu kwa ajili ya kufukuza wanyama tembo katika maeneo yote yenye changamoto.

Akizungumza mbele ya wananchi wa Kijiji cha Nambalapala kilichopo katika Kata ya Kipara Mnero Mhe. Moyo amesema zimetumika mbinu mbalimbali kupambana na tembo lakini bado wameendelea kusumbua, sasa Mheshimiwa Raisi kwa mapenzi makubwa aliyonayo ameleta ndege nyuki na kwa mara ya kwanza Tanzania  imezinduliwa katika kijiji cha Nambalapala.

Ndege hiyi inabeba maji yatakayohangwa na pilipili kavu lita 30 ili iweze kuwafukuza tembo pia inauwezo wakwenda kilometa 5 na futi 400 juu, Kuna ndege nyuki ndogo ambayo kazi yake ni kuzunguka kutafuta walipo tembo ili kubwa iende kumwagia pilipili kali itakayowafanya tembo waweze kutoka kwenye maeneo walimovamia.


Aidha, kwa upande wake Afisa Uhifadhi wa TAWA ndugu Switibat Joel ametilia mkazo kwa jitihada zilizofanyika kukabiliana na tembo na ukiongeza na teknologia hii ya Ndege nyuki inaenda kupunguza kazia hii ya tembo kama sio kumaliza kabisa, pia amewataka wananchi kuchukua taadhali kwani wanyama wanaweza kuongeza ukali kutokana na teknolojia  hii hivyo inapotokea askari wanafukuza tembo wafuate maelekezo yao.


Nae Diwani wa kata hiyo ya Kipara Mnero Mheshimiwa Ali Ahmad Milile ameishukuru serikali kwa jitihada inazozifanya kupambana na tembo na ni imani kubwa kwa wananchi kuwa ndege nyuki itasaidia na kuwapa nafuu.


.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • VIKUNDI 55 VYA WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% WAJENGEWA UWEZO

    July 03, 2025
  • WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% WATAKIWA KUWA NA NIDHAMU YA FEDHA, MILIONI 649 ZAKOPESHWA AWAMU YA PILI

    July 03, 2025
  • NACHINGWEA YAJIFUNZA MBINU BORA ZA USIMAMIZI WA MIGODI KUTOKA GEITA

    June 27, 2025
  • WATUMISHI LINDI WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA USHIRIKI WA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KUJIFUNZA.

    June 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.