Imetumwa : June 14th, 2025
Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa, amesema Mkoa wa Lindi ni miongoni mwa maeneo machache nchini yaliyobarikiwa kuwa na madini ya kimkakati yenye thamani kubwa kiuchumi.
Ameyasema...
Imetumwa : June 13th, 2025
Kiwanda kikubwa cha uchenjuaji madini ya Nickel, chenye miundombinu ya kisasa, kimejengwa Nditi, Nachingwea – hatua ya kihistoria inayotokana na juhudi za wachimbaji wadogo kupitia chama chao...
Imetumwa : June 12th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack, ameongoza mbio za ridhaa za kilometa 5 zilizofanyika leo Juni 12, 2025, katika wilaya ya Ruangwa, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za kuelekea maonesho ya...