Imetumwa : January 17th, 2025
Mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa ugani kilimo walioajiriwa na Bodi ya Korosho Tanzania kupitia programu ya Jenga Kesho (Building a Better Tomorrow - BBT) yamehitimishwa leo, tareh...
Imetumwa : October 27th, 2024
Chama Kikuu cha Ushirika RUNALI kimefanikiwa kuongoza mnada wa tatu wa zao la korosho katika kijiji cha Tuungane, kata ya Maili Saba, Wilaya ya Liwale. Katika mnada huu, jumla ya kilo 14,516,790 zimep...