Imetumwa : June 14th, 2025
Akimwakilisha Waziri Mkuu katika kilele cha Maonesho ya Madini Mkoa wa Lindi Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Madini Dokta Steven Kiruswa akiingia viwanja vya Maonesho hayo na kukagua mabanda mablimbali.
...
Imetumwa : June 14th, 2025
Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa, amesema Mkoa wa Lindi ni miongoni mwa maeneo machache nchini yaliyobarikiwa kuwa na madini ya kimkakati yenye thamani kubwa kiuchumi.
Ameyasema...
Imetumwa : June 13th, 2025
Kiwanda kikubwa cha uchenjuaji madini ya Nickel, chenye miundombinu ya kisasa, kimejengwa Nditi, Nachingwea – hatua ya kihistoria inayotokana na juhudi za wachimbaji wadogo kupitia chama chao...