Imetumwa : May 5th, 2023
Baraza la madiwani robo ya tatu mwaka wa fedha 2022 /2023 la wilaya ya Nachingwea limefanya mkutano wa baraza baada ya kutanguliwa na vikao vya kamati na uwasilishaji wa taarifa za kata. Katika...
Imetumwa : May 3rd, 2023
Mkuu wa wilaya Nachingwea Mhe. Mohamed Hassan Moyo amemuagiza Mkuu wa Idara ya kilimo Wilayani humo kuhakikisha wanakua na kazi data ili kuwaondolea usumbufu wananchi kuandikishwa kila mwaka.
...
Imetumwa : May 2nd, 2023
Hospitali ya wilaya ya Nachingwea imepokea vifaa tiba vya kisasa vya ICU vyenye gharama ya zaidi millioni 383 kwa ajili ya kutoa huduma kwa wagonjwa watakao na hali mbaya zaidi.
Akizungumza...