Imetumwa : March 3rd, 2025
Leo, tarehe 3 Machi, Taasisi ya Essence of Smile Foundation, kwa kushirikiana na Idara ya Maendeleo ya Jamii wamekabidhi vifaa vya shule kwa watoto watano wenye uhitaji kwa Mkuu wa Wilaya ya Nac...
Imetumwa : March 28th, 2025
Tarehe 28 Februari 2025 idara Maendeleo ya Jamii wilaya ya Nachingwea imefanya mkutano muhimu na wanafunzi wa shule za sekondari zilizopo katika Mamlaka ya Mji Mdogo Nachingwea, lengo likiwa ni ...
Imetumwa : March 26th, 2025
Leo, tarehe 26 March Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mheshimiwa Mohamed Hassan Moyo, amegawa mitungi ya gesi 1600 kwa wakina mama waliolipia nusu ya gharama, yaani shilingi 19,500 kila mmoja.
...