Imetumwa : August 7th, 2024
MKUU wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amewataka maafisa kilimo kutoa elimu kwa wakulima namna bora ya kulima kilimo cha kisasa kama ambavyo wanavyotoa elimu hiyo kwenye nane nane.
Mo...
Imetumwa : August 7th, 2024
Wananchi wameshauriwa kutumia karafuu inayopatikana wilaya ya Nachingwea ambayo inatibu matatizo ya kunuka mdomo na afya ya kinywa kwa ujumla.
Akizungumza katika maonyesho ya nane nane kanda ya...
Imetumwa : August 6th, 2024
ZAO la asili la upupu ambalo limekuwa chakula pendwa kwa wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara ambalo mara nyingi huliwa kama futari na wananchi wa mikoa hiyo.
Baadhi ya wananchi wamesema kuwa z...