Imetumwa : June 20th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea imezawadiwa cheti na Ofisi ya Rais TAMISEMI kama pongezi kwa kufanya vizuri katika matokeo ya darasa la saba 2024, cheti hicho kimetolewa kwa kuzingatia kigezo cha ...
Imetumwa : June 20th, 2025
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea Mhandisi Chionda M. Kawawa alipokua katika hafla fupi ya kuwaaga Madiwani iliyofanyika Juni 20, 2025 katika ukumbi wa Mondo...
Imetumwa : June 17th, 2025
Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi Bi Zuwena Omary leo June 17, 2025 amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea kutenga 20% kutoka katika mapato yatokanayo na mazao na kuipatia idara ya ki...