TANGAZO LA KUITWA KAZINI.pdf Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea anapenda kuwataarifu wasailiwa nafasi za utendaji wa vijiji Daraja la III waliokuwa kwenye kanzi Data ya Halmashauri ya usaili uliofanyika tarehe 01 Agosti 2022 hadi o2 Agosti 2022 kuripoti Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nachingwea ndani ya siku kumi na nne (14) kwa taratibu za ajira . Pakua pdf kuona majina.
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.